Wakulima eneo la Mwingi watoa kilio kutokana na wadudu hatari wanaoangamiza mimea yao

KTN News Nov 25,2019


View More on Leo Mashinani

Wenyeji Wa Maeneo Ya Kovou Mwingi Katika Kaunti Ya Kitui Wamepaza Kilio Chao Kwa Serkali Ya Kaunti Na Idara Husika Kuingilia Kati Na Kuwasaidia Katika Kupambana Na Wadudu Hatari Wanaoangamiza Mimea Yao. Viwavi Hao Wameingilia Mamia Ya Ekari Za Mashamaba Katika Eneo La Mwingi Ya Kati Na Kitui Magharibi Na Na Kusababaisha Hasara Ya Maelfu Ya Pesa. Waathiriwa Wanasema Wamejaribu Mbinu Zote Hata Kuwaga Pili Pili Kwenye Mimea Bila Mafanikio.