Watu 52 wamefariki huko West Pokot, idadi yazidi kuongezeka

KTN News Nov 25,2019


View More on Leo Mashinani

Idadi Ya Watu Waliofariki Katika Maporomoko Ya Udongo Kaunti Ya Pokot Magharibi Imeongezeka Na Kufikia Watu 52. Gavana Wa Kaunti Hiyo John Lonyangapuo Sasa Ametoa Wito Kwa Serikali Ya Kitaifa Kutoa Msaada Zaidi Kwa Maelfu Ya Watu Ambao Wameachwa Bila Makao Katika Mkasa Huo.