Taekwondo ya watoto | ZILIZALA VIWANJANI

KTN News Nov 14,2019


View More on Sports

Watoto wengi sasa wako nyumbani baada ya shule kufungwa. Kuna mashirika walioanzisha mipango maalum ya kuhakikisha wameshiriki michezoni badala ya kujihusisha na mambo ambayo huenda yakawaathiri vibaya.