KURUKA KWA KAMBA: Mchezo wa 'Jump Rope' yashika kasi Kibra, unalenga wanafunzi waliofunga shule

KTN News Nov 14,2019


View More on Sports

Shule nyingi nchini zimefungwa, nao wanafunzi wamepata fursa ya kupumua angalau kwa muda....lakini kwenye mtaa wa Kibra kundi la Jumprope Kenya lipo mbioni kuwasajili wachezaji wapya watakaowakilisha kenya kwenye mashindano ya dunia ya kuruka kamba mwaka ujao na walengwa ni wanafunzi wa shule.