Manispaa ya kaunti ya Kisii kunufaika na mradi wa uchumu endelevu, shurika la Uingereza litatoa fedh

KTN News Nov 14,2019


View More on KTN Mbiu

Kaunti ya Kisii ni miongoni mwa manispaa 12 nchini zitakazonufaika na pauni milioni 70 za mpango wa uchumi endelevu. Mradi huo umetolewa na serikali ya Uingereza kwa manispaa kadhaa duniani, kupitia idara ya maendeleo ya kimataifa DFID.