Mahakama yaamuru Kampuni ya Finlay's isifunge mashamba

KTN News Nov 12,2019


View More on Leo Mashinani

Mahakama Ya Wafanyikazi Huko Nakuru Imeagiza Kampuni Ua Finlays Flower Farm Kutofunga Mashamba Yao. Kampuni Hio Ya Finlay Ilikua Imetangaza Kwamba Watafunga Mashamba Yao Kadhaa Kufikia Mwezi Wa Desemba