Serikali yahamasishwa kutia bidii kujmilisha upanuzi wa uwanja wa ndege huko Malindi

KTN News Nov 11,2019


View More on Leo Mashinani

Muungano Wa  Wadau Mbali Mbali Ujulikanao Kama Malindi Progressive Welfare Association Umetoa Wito Kwa Serikali Kutia Bidii Ili Kujmilisha Upanuzi Wa Uwanja Wa Ndege Wa Muungano Huo Unaojumuisha Wawekezaji Katika Sekta Ya Utalii, Jamii Ya Wanabiashara Malindi, Vyama Vya Wanawake Katika Utalii , Bodi Ya Manispaa Ya Malindi Na Serikali Yakaunti Waliyazungumza Haya Wakati Wa Shughuli Ya Awamu Ya Sabaya Kila Mwezi Ya Kuusafisha Mji Wa Malindi Kwa Lengo La Kuufanya Kuwa Safi Na Kuwavutia Wawekezaji Zaidi.Serikali Kupitia Kwa Mamlaka Aya Viwanja Vya Ndege Nchini Inatarajiwa Kuipanua Barabaraba Ya Ndenge Kutoka Upana Wa Kilomita 1.4 Hadi Kilomita  2.5