Wenyeji wa Marsabit wamekimbia makwao baada ya mapigano kushuhudiwa Saku

KTN News Nov 11,2019


View More on Leo Mashinani

Idadi Kubwa Ya Wakazi Wa Eneo Bunge La Saku Katika Kaunti Ya Marsabit Wamelazimika Kukimbia  Makwao  Baada Ya Shambulizi La Siku Ya Jumatano Ambapo Watu Kumi Na Mmoja Wakiwemo Polisi Watatu Waliuawa. Polisi Wanasema Kwamba Mauaji Hayo Yametokana Na Uhasama Wa Kikabila Wa Muda Mrefu Baina Ya Waborana Na Wagabra Wanaopigania Ardhi