Wamiliki wa punda katika mji wa Machakos waandamana wakitaka kufungwa kwa vichinjio

KTN News Nov 11,2019


View More on Leo Mashinani

Wamiliki Wa Punde Katika Mji Wa Machakos Wamefanya Maandamano Wakitaka Kufungwa Kwa Vichinjio Vya Punda Katika Eneo Hilo Ili Kuwaokoa Wanyama Hao Ambao Wanakabiliwa Na Tishio La Kuangamia. Wamiliki Hao Waliimba Nyimbo Za Kupinga Uchinjaji Wa Punda Wakisema Kuwa Hawakushauriwa Kabla Ya Kichinjio Cha Punda Kujengwa Katika Eneo La Kithyoko Kaunti Ndogo Ya Masinga.