ODM yajipiga kifua baada ya ushindi Kibra

KTN News Nov 10,2019


View More on KTN Leo

Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga asema kuwa ushindi wa chama chake katika uchaguzi mdogo wa Kibra sasa ni ushindi kwa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia jopo la upatanishi BBI.