Timu Ya Taifa ya raga kwa mara nyingine imefuzu mashindano ya Olympiki Tokyo Japan

KTN News Nov 09,2019


View More on KTN Leo

Timu Ya Taifa Ya Raga Wachezaji Saba Kila Upande Kwa Mara Nyingine Imefuzu Mashindano Ya Olympiki Tokyo Japan Mwaka 2020. Kenya Ilitinga Fainali Za Ubingwa Wa Raga Barani Afrika Ambapo Iliibwaga Uganda Alama 31 Bila Jibu Ili Kufuzu.