Watu wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa visu huko Marsabit
KTN News Nov 09,2019
Hali Ya Taharuki Imetanda Eneo La Shur, Huko North Horr Kaunti Ya Marsabit, Kufuatia Tukio Ambapo Watu Wawili Wamejeruhiwa Vibaya Baada Ya Kushambuliwa Kwa Visu Na Watu Waliodai Kuwa Maafisa Wa Polisi. Wakai Huo Huo, Wenyeji Wanalalamikia Kile Wanachodai Kuwa Polisi Kutumia Nguvu Kupita Kiasi Katika Operesheni Inayoendelea Eneo Hilo. Hata Hivyo Mshirikishi Wa Ukanda Wa Mashariki Isaiah Nakoru, Amepuuzilia Mbali Madai Hayo.