.
8th November, 2019
Bernard Imran Okoth Ndio Mshindi Wa Uchaguzi Mdogo Wa Kibra Uliofanyika Hapo Jana. Wakazi Wa Kibra Walisahau Vituko Za Kampeni Na Matukio Ya Upigaji Kura Na Kusonga Mbele Na Maisha Yao Kama Kawaida Japo Kulionekana Kuwa Na Sherehe Chache Kutoka Kwa Wafuasi Imran