Genge la watu sita lamvamia na kumjeruhi mtu dukani kwake Kisauni

KTN News Nov 06,2019


View More on KTN Leo

Mtu mmoja anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na genge la vijana maeneo ya vikwatani kisauni kaunti ya Mombasa.  Kwenye tukio hilo la mwendo wa saa mbili jana usiku genge la takriban watu tisa lilimvamia mhudumu mmoja wa duka la dawa na kumjeruhi kwa kumkata mkono wa kulia.