Siasa ya Mwalimu Julius Nyerere | MIRATHI YA SIASA

KTN News Nov 05,2019


View More on Sports

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anakumbukwa kuanzisha sera ya mfumo wa Ujamaa nchini humo na alikuwa maarufu miongoni mwa marais wa Afrika katika enzi zake.