Wasichana wawili wakeketwa Nakuru bila hiari

KTN News Nov 05,2019


View More on KTN Leo

Wasichana wawili waliokeketwa wanapokea matibabu katika hospitali ya Rift Valley huko Nakuru. Wawili hao waliokolewa na polisi baada ya kutendewa hivyo bila hiari.