MUTUA AKAIDI TENA-Gavana wa kaunty ya Machakos Alfred Mutua amekosa kufika mbele ya kamati ya seneti

KTN News Oct 08,2019


View More on Leo Mashinani

Gavana wa kaunty ya Machakos Alfred Mutua amekosa kufika mbele ya kamati ya seneti inayohusika na maswala ya uhasibu licha kamati hiyo kuagiza Inspekta mkuu wa polisi kumkamata Mutua na kumwasilisha mbele ya bunge.