Mchungaji aliyegeuka kuwa mchawi amepata uchi huko Ukambani

KTN News Apr 23,2019


View More on KTN Leo

Katika kisa cha ajabu mmoja wa viongozi wa dini huko Mwingi alipatikana uchi katika shamba la jirani na vifaa vinavyodhaniwa kuwa vya kishirikina. Tukio hilo limewaacha wengi vinywa baada ya bwana huyo kyalo kavali kukiri kuwa alikuwa akiwawekea watu hirizi kabla ya kuwaombea.