Wambunge wa ODM bado wana matumaini katika siasa za Kenya

KTN News Apr 06,2019


View More on KTN Leo

Mbunge wa Saboti Caleb Amisi amesema kuwa huenda ODM haikuwa na dira kamili kimkakati ya kukabiliana na wapinzani wake katika chaguzi za embakasi south na ugenya. Amisi amesema kuwa hatua ya ODM kushindwa katika kinyanganyiro hicho haitakiwi kufasiriwa kuwa chama hicho kimekuwa hafifu.