Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta imewaruhusu wagonjwa 254 kwenda nyumbani na madeni

KTN News Apr 02,2019


View More on KTN Leo

Juma moja baada ya kutangazwa kuwa mojawapo ya taasisi za kutoa huduma za afya nchini zinazowazuilia wagonjwa wanaoshindwa kulipa ada za hospitali, Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta imewaruhusu wagonjwa mia mbili hamsini na wanane  kwenda nyumbani. Hata hivyo hatua hii inatokana na maafikiano baina ya familia za wagonjwa, wahisani na hatua ya hospitali kupunguza misongamano kwenye wadi zake.