Kampeni za Ugenya zimeshuhudia vurugu

KTN News Apr 02,2019


View More on KTN Leo

Huko Ugenya Kaunti ya Siaya, wenyeji wanasubiri kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo siku ya ijumaa. Mwanahabari Duncan Khaemba yuko huko na sasa tunaungana naye atueleze jinsi kampeini zilivyo.