Rais Uhuru Kenyatta amezindua rasmi mpango wa huduma namba

KTN News Apr 02,2019


View More on KTN Leo

Rais Uhuru Kenyatta Hii leo amezindua rasmi mpango wa huduma namba huko Masii kaunti ya machakos. Rais Kenyatta aliwasihi Wakenya wa matabaka yote kujitokeza kwa idadi kubwa na kujisajili kwa kipindi cha siku 45 zijazo. Uamuzi wa mahakama jijini Nairobi uliondoa vizuizi vilivyokuwa vimesitisha shughuli hiyo.