Madaktari wa Kenya wa macho wanafanya upasuaji wa stem cell transplant wa jicho

KTN News Apr 01,2019


View More on KTN Leo

Wakati runinga ya KTN News ilipatana na madaktari wa kituo cha kutibu magonjwa ya macho cha laser hapa jijini nairobi miezi miwili iliyopita, walikuwa wanafanya upasuaji wa kwanza na wa kipekee nchini Kenya. Upasuaji wa stem cell transplant wa jicho. Je, upasuaji huu ulifaulu kumrejeshea mgonjwa uwezo wa kuona?