Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mfanybiashara wa Mombasa atiwa mbaroni

KTN News Mar 25,2019


View More on KTN Leo

Ripoti iliyowasilishiwa katika mahakama kuu ya Mombasa imeamuru kutoachiliwa kwa mmoja wa washukiwa wakuu kwenye mauaji ya mfanyabiashara mmoja katika kaunti ya Kilifi. Mshukiwa huyo aliingia kwenye makubaliano na upande wa mashtaka pale alipokiri kushirikiana na upande wa mashtaka.