Bondia kutoka Zambia Catherine Phiri yuko tayari kupambana na Fatuma Zarika

KTN News Mar 19,2019


View More on Sports

Catherine Phiri Bondia kutoka Zambia atakayezichapa na Fatuma Zarika aliwasili hii leo huku akiapa kutwaa mkanda wa WBC wa super bantam.