Wakenya zaidi wameendelea kuathirika na baa la njaa

KTN News Mar 18,2019


View More on KTN Leo

Wakenya zaidi wameendelea kuathirika na baa la njaa haswa katika Kaunti zilizoko maeneo kame kama vile Turkana ambapo vifo kutokana na jinamizi hilo vimeripotiwa.