Katibu Mkuu wa COTU Francis Atwoli ameitaka serikali kutupilia mbali leseni ya James Finlays

KTN News Mar 12,2019


View More on KTN Leo

Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli ameitaka serikali kututilia mbali leseni ya kuhudumu humu nchini kampuni ya james finlays kwa kukosa kuzingatia mkataba wa pamoja kati wafanyikazi na vyama vya wafanyikazi. Atwoli alisema hayo huko nakuru na kusisitiza kuwa kampuni hiyo imekuwa ikikiuka mara kwa maafikiano ya utendakazi na wa wafanyikazi na waajiri.