Mchezaji wa Kenya wa gofu Dismas Indiza yuko tayari kucheza kwa Kenya Open

KTN News Mar 12,2019


View More on Sports

Mchezaji wa Kenya wa gofu Dismas Indiza ameahidi mashabiki wa mchezo huo humu nchini kwamba wakenya watafanya vyema kwenye makala ya mwaka huu ya Kenya open yatakayong'oa nanga siku ya alhamisi.