×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shuguli ya kupaka rangi katika mji wa Kwale

4th March, 2019

Baada ya shughuli ya kupaka rangi ya samawati na nyeupe katika mijengo iliopo katikati mwa mji wa Mombasa makavazi ya kitaifa ya kenya vile vile yakaanzisha mradi wa kupaka rangi ya dhahabu katika mji wa Kwale. Lakini kwa sasa wameanzisha uboreshaji zaidi kwa kuweka michoro kwa mtindo wa 3d katika mji huu ambao umekuwepo tangu karne ya 14. 

.
RELATED VIDEOS