Naibu Rais William Ruto aendelea na maneno makali dhidi ya kinara wa ODM Raila Odinga

KTN News Mar 04,2019


View More on KTN Leo

Naibu Rais William Ruto ameshikilia msimamo kwamba vita dhidi ya ufisadi ni njama za kusambaratisha  mipango ya maendeleo ya chama cha jubilee kwa minajili ya kumhujumu kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao, semi ambazo kinara wa nasa kalonzo musyoka amefutilia mbali akionya wanasiasa dhidi ya kuingilia majukumu ya idara za kupambana na ufisadi kufuatia tetesi kwamba idara hizo zinatumika kisiasa.