FKF imetoa fedha kwa vilabu 36 katika Kaunti ya Nairobi

KTN News Feb 26,2019


View More on Sports

Shirikisho la Kandanda nchini FKF kwa ushirikiano na serikali kuu, wametoa misaada ya fedha na jezi kwa vilabu 36 katika Kaunti ya Nairobi pamoja kuzilipia ada timu hizo ziweze kushiriki katika ligi tofauti za kandanda.