Maandalizi ya mashindano ya mchezo wa gofu wa Kenya Open yanatarajiwa kuboreka

KTN News Feb 26,2019


View More on Sports

Maandalizi ya mashindano ya mchezo wa gofu wa Kenya Open yanatarajiwa kuboreka mwaka huu.hii ni baada ya shirika la kenya open golf limited kushirikiana na kampuni ya coca cola iliyotowa  ufadhili wa shilingi milioni tano nukta sita kutumika kwa maandalizi ya michuano ya mwaka huu inayoanza tarehe 14?17 mwezi machi.