Chumba cha kuhifadhi maiti katika Kaunti ya Kwale iko katika hali ya hatari

KTN News Feb 25,2019


View More on KTN Leo

Je utahisi vipi ukienda kwenye chumba cha kuhifadhi maiti kuchukua mwili wa mpendwa aliyeaga kisha ukumbane na miili mingine iliotapataa hadi mlangoni na upigwe na harufu kali ya kama ya mizoga. Ndio hali halisi katika Hospitali ya Rufaa ya Msambweni katika Kaunti ya Kwale ambapo mwanahabari wetu tobias chanji aliitembelea na kutuandalia habari ifwatayo.