.
25th February, 2019
Wakfu wa Aga Khan kanda ya Pwani ikishirikiana na serikali ya Kaunti ya Lamu wameweza kuandaa maonesho ya taaluma mbalimbali ambazo zinapatikana katika vyuo vya ufundi jimboni humo. Akizungumza kisiwani amu naibu gavana wa kaunti ya lamu abdul hakim aboud amefurahishwa na maonesho hayo na kusema taaluma walizopata wanafunzi hao zitawasaidia kujikimu kimaisha sawia na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.