Amos Kirui na Hellen Obiri ndio washindi wa makala ya 43 ya mbio za kitaifa za nyika

KTN News Feb 23,2019


View More on Sports

Amos Kirui na Hellen Obiri ndio washindi wa makala ya 43 ya mbio za kitaifa za nyika. Wawili hao waliibuka washindi kwenye mbio zilizoandaliwa mjini eldoret huku timu itakayoshiriki mbio za dunia ikichaguliwa.