Mabingwa watetezi wa Kenya cup KCB waliiipa Kabras kichapo

KTN News Feb 23,2019


View More on Sports

Mabingwa watetezi  wa Kenya cup KCB waliiipa Kabras kichapo chao cha kwanza msimu huu, baada ya kupata ushindi wa alama 44 20 kwenye mechi ya mashindano ya raga ya Kenya cup iliyochezwa ugani impala hii leo. Kutokana na matokeo hayo kcb na kabras sasa wanashikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali la kenya cup wakiwa na alama 49. Katika mechi nyengine ya kenya cup ambayo ilichezwa leo,timu ya impala ilipata ushindi wa alama 36 27 dhidi ya homeboyz, nondies ikailaza blak blad 10 7, kisha nakuru ikapata ushindi wa alama 29 15 dhidi ya mwamba.