Kampuni ya vyuma imeunda mashine maalum ya kukabiliana na uchafuzi wa hewa

KTN News Feb 13,2019


View More on KTN Leo

Kampuni moja inayoshughulika na vyuma huko Mlolongo sasa imeunda mashine maalum ya kukabiliana na uchafuzi wa hewa safi baada ya wakazi wa eneo la syokimau kulalamika kwa halmashauri ya mazingira nema kuhusu kampuni hiyo. Mhandisi gabriel kiama ambaye ni meneja wa operesheni za kampuni hiyo amesema sasa suluhu imepatikana na kwamba wakazi wasihofu tena.