Waziri Fred Matiang’I ametangaza lengo la kupunguza idadi ya ajili barabarani

KTN News Feb 13,2019


View More on KTN Leo

Waziri wa masuala ya ndani Fred Matiang’i ametangaza lengo la kupunguza idadi ya ajili barabarani kwa asilimia hamsini. Aidha matiang'i amesema hatavumilia uzembe kwenye taasisi ya mamlaka ya usafiri na usalama barabarani, NTSA.