Kaunti ya Vihiga inajizatiti kupunguza vifo vya kina mama

KTN News Feb 11,2019


View More on KTN Leo

Kaunti ya Vihiga, inajizatiti kupunguza vifo vya kina mama waja wazito au watoto hususan wanapojifungua, kupitia mpango waliouzindua mwaka jana. Tayari idadi kubwa ya kina mama waja wazito wamekua wakifika vituoni kupitia ottichilocare kupata huduma hizo baada ya kusajiliwa.