Shule ya Upili ya St. Josephs Ganjala imewafukuza wanafunzi wasita kwa kukataa kunyoa nywele

KTN News Feb 05,2019


View More on KTN Leo

Wazazi wa Wanafunzi sita wa Shule ya Upili ya St. Josephs Ganjala iliyopo eneo bunge la Funyula, Kaunti ya Busia sasa wametishia kushtaki usimamizi wa shule hiyo baada ya wasichana hao kufukuzwa shuleni kwa kukataa kunyoa nywele  kwa madai kuwa hapaswi kunyoa kwa sababu za kidini. Sasa wazazi hao wanamtaka waziri wa elimu balozi amina mohammed kuingilia kati suala hilo. Cecilia wakesho mathuva na taarifa kamili.