Kocha wa Western Stima Paul Ogai ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi wa Disemba

KTN News Feb 05,2019


View More on Sports

Kocha wa Western Stima Paul Ogai ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi wa disemba kwenye ligi kuu ya soka nchini.ogai alimpiku mkufunzi mwenza francis kimanzi wa mathare united kutwaa tuzo hiyo kwa kura 14 kwa 7.