Uhaba wa ARVs ni baadhi changamoto kuu wakumbazo waathiriwa wa virusi vya HIV

KTN News Jan 31,2019


View More on KTN Mbiu

Kundi moja la watu wanaoishi na virusi vya hiv hapa nairobi, limeelezea changamoto zinazowakumba wagonjwa wa hiv ikiwemo uhaba wa dawa za kupunguza makali, arvs, na ukosefu wa lishe bora. Wakiongea na wanahabari, waathiriwa hao wa virusi vya hiv, aidha walidai kuhangaishwa na baadhi ya hospitali ambazo hazikubali kadi za NHIF