×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamume mmoja katika eneo la Elburgon anadaiwa kumuua babake

29th January, 2019

Katika kisa cha kutia majonzi mwanamume mmoja  katika eneo la Elburgon ameuawa na umati wenye hasira kwa madai ya kumuua babake mzazi baada ya mzozo  kuibuka baina yao. Inaarifiwa kuwa erick kibiwott  alikuwa ameitisha shilingi mia moja kutoka kwa babake na kisha kurejea nyumbani akiwa amelewa na kutaka babake mwenye umri wa miaka 65 kumpa pesa zaidi aende kunywa pombe. Aliponyimwa alimpiga babake hadi kufa. 

.
RELATED VIDEOS