×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke mmoja aaminika kuvamiwa na mamba Mbeere

27th January, 2019

Shughuli ya kumtafuta mama mmoja wa umri wa miaka 45 katika kijiji cha wereri eneo bunge la Mbeere ya kaskazini huko Meru, iliingia siku ya tatu kufuatia hofu kuwa huenda alishambuliwa na mamba kando mwa mto Tana. 

Inadaiwa mwanamke huyo alikua akiteka maji mtoni kabla ya kuvamiwa pamoja na punda wake. 

Kama anavyoarifu Ali Manzu, wanakijiji wanaishi kwa hofu baada ya matukio mingine kama hayo kuripotiwa awali.

.
RELATED VIDEOS