×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashindano ya safari Rally nchini Kenya yatarajiwa kuimarika na kusisimua mwaka huu

24th January, 2019

Mashindano ya magari ya Safari Rally nchini kenya yanatarajiwa kuimarika na kusisimua mwaka wa 2019. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa shirikisho la magari nchini Kenya Phineas Kimathi, wameweka mikakati kabambe ya kuyaboresha mashindano hayo, aidha serikali kupitia kwa katibu wa wizara peter kaberia wanasema kwamba wanafanya kila wawezalo Kuhakikisha kwamba mbio za magari za hadhi zarejeshwa tena nchini

.
RELATED VIDEOS