Walioacha vitu vyao katika hoteli ya Dusit D2 wameruhusiwa kuvichukua

KTN News Jan 22,2019


View More on KTN Leo

Wiki moja baada ya tukio la shambulizi la hoteli ya Dusit D2 jijini Nairobi, watu walioacha vitu vyao kama vile magari na vyombo vya ofisi wameruhusiwa kuvichukua wakiwa na stakabadhi muhimu. Vile vile baadhi ya watu wanadai bidhaa zao muhimu ziliibiwa katika hoteli hiyo.