Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wamejumuika katika hafla ya mazishi ya Bruce Odhiambo

KTN News Jan 19,2019


View More on KTN Leo

Rais Uhuru Kenyatta pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga leo wamejumuika katika hafla ya mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa hazina ya kufadhili biashara za vijana Bruce Odhiambo katika eneo la koru kaunti ya kisumu. Bruce alikuwa rafiki wa karibu wa rais kenyatta. Aliaga dunia tarehe 4 mwezi huu baada ya kuugua maradhi ya moyo.