Polisi mjini Garissa wanawazuilia watu watatu wanaominika kupanga njama ya mashambulizi ya kigaidi

KTN News Jan 19,2019


View More on KTN Leo

Wakati huo huo maafisa wa polisi mjini Garissa wanawazuilia watu watatu wanaominika kupanga njama ya mashambulizi ya kigaidi. Washukiwa hao walikamatwa wakiwa wamejihami kwa silaha katika eneo la hamey mpakani kati ya kenya na somalia.