Waakilishi wadi bunge la kaunti ya kirinyaga watishia kupitisha hoja ya kukosa imani na Ann Waiguru

KTN News Jan 18,2019


View More on Leo Mashinani

Waakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Kirinyaga wametishia kupitisha hoja ya kukosa imani kwa gavana Ann Waiguru kufuatia mtafaruku wa shilingi bilioni sabini, ambazo ni fedha za kufadhili elimu ya wanafunzi katika kaunti hiyo. Kwenye hoja iliyoongozwa na mwalishi wadi ya Kangai John Gitari, bunge hilo limelelema kwamba licha ya kupitisha bajeti hiyo ya shilinghi milioni sabini, gavana aliipunguza hadi shilingi milioni ishirini, hali wanayosema inawanyima masomo watoto wasiojiweza