Wanachama wa Ekeza Sacco wazua fujo wakitaka malipo

KTN News Jan 14,2019


View More on KTN Leo

Ni mwaka sasa tangu ktn news kufichua kashfa ya Ekeza Sacco iliyokatalia  pesa za wanachama wake, kisha kufuatiliwa na serikali kuchukua hatua na kuifunga sacco hio inayoendelea kudorora.